Mkurugenzi wanyamapori aliyesimamishwa kazi kwa mbwembwe, arejeshwa kazini

jAMANI HIZISARAKASI ZA SERIKALI YETU ZITAISHA LINI?? NAAMINI ASILIMIA KUBWA YA WANJF NAWATZ WANAKUMBUKA VIZURI SAKATA LA UUZWAJI WA WANYAMAPORI WETU WAKIWA HAI KWENDA UARABUNI. BIASHARA HIYO ILIFANYIKA BILA KIFICHONI AMBAPO NDEGE YA JESHI LAQATAR ILIRUHUSIWA KUINGIA KWENYE “ANGA LETU” NA KUTUA KWENYE “ARDHI YETU” KISHA KUONDOKA NA “WANYAMA WETU”. BAADA YA WAPENDA NCHI KUPIGA KELELE NYINGI,ALIYEKUWA WAZIRI WA MALIASILI, MHE MAIGE, AKIWA BUNGENI NA KWA MBWEMBWE NYINGI,ALIMSIMAMISHA KAZI MKURUGENZI WA WANYAMAPORI NDG OBEID MBANGWA NA MAOFISA WENGINE WA IDARA HIYO. SASA TAKRIBANI MIEZI SABA TUU IMEPITA TOKA ALIPOSIMAMISHWA MBANGWA, IMEAMULIWA ARUDISHWE KAZI, ILA SINA UHAKIKA KWA NAFASI GANI. NIKIWA MDAU MKUBWA WA UHIFADHI WANYAPORI NINAYE FAHAMU VYEMA TARATIBU NA SHERIA ZA UNUNUZI NA USAFIRISHAJI WAWANYAMAPORI (LIVE ANIMAL TRADE) NAJIULIZA, KAMA MBANGWA HANA HATIA NANI ALITOAVIBALI HIVYO KAMA SIO MBANGWA? JUZI NIMEONA WAMEMTOA MHE MSIGWA KWENYE KAMATI,JE NI KWASABABU NDIYE ALIKUWA ANAPIGA SANA KELELE? ALIYEKARIBU NA MSIGWA TUNAOMBA AFUATILIE TUPATE MAJIBU MAANA YEYE NI WAZIRI KIVULI WA WIZARA HIYO.

Comments

Popular Posts