Kwa Huduma Nzuri Kabisa

Kwa Huduma Nzuri Kabisa za Copy, Printing, Scanning, Vitambulisho, Card za Michango na Mwaliko na Huduma Zote Za Stationary Karibu Sana Beni and Philip Technologies Tukuhudumie . Pia tuna huduma za internet , online application za vyuo mbalimbali , online application za bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu, application za nacte ngazi ya stashahada na astashahada , application za necta wale wa Qualification Test au QT na Private Candidates au PC , huduma za kutuma vyeti RITA kwaajili ya uhakiki na kuvipokea kisha kuchapisha.
Pia tuna huduma za Computer Maintenance, Software Installation, Operating System, Data Recovery, Ant Virus, Computer Accessories, Hardware, Phone Accessories Na System Security . Tupo Soweto karibu na MKULU HOTEL au KIWIRA MOTEL huduma zetu ni poa na kwa bei rahisi kabisa . Unaweza kuwasiliana nasi kwa simu nambari +255744599814/+255777392940/+255674416471

Comments

Popular Posts