ULIKUWA HUJUI HII NI YAKO SASA
<strike>http://mhelela.blogspot.com Si Utundu Na Ujanja Wa
Mwanaume Tu Unaomwezesha
Mwanamke Kupata Utamu Wa
Kufika Kileleni (Mshindo, Orgasm,
Coming) Bali Mwanamke Pia
Anahusika. Kufika Kileleni Ni Nini?
Ni Kiwango Cha Juu Kabisa Cha
Utamu, Hisia, Raha, Msisimko
Wakati Wa Tendo La Ndoa Wakati
Ambapo Misuli Ya Uke Au Uume
Hukaza.
Kwa Mwanaume Huambatana Na
Kutoa Manii (Ejaculation).
Wengine Wakifika Kileleni Hupiga
Kelele Sana, Wengine Huongea
Maneno Ovyo Ovyo Hata Matusi,
Wengine Huzimia Kabisa,
Wengine Huwakwida Wapenzi
Wao Kama Vile Kibaka, Wengine
Hutulia Kimya Na Kupitilia Za
Usingizi Na Wengine Ukiwauliza
Wanasema Mahali Walikuwa Ni
Kama Vile Walikuwa Hewani,
Wengine Kama Vile Walikuwa
Wananamwona Bwana (Yesu)
N.K Ilimradi Tu Ni Raha Na Utamu
Na Ni Kweli Mungu Alitupa
Zawadi Ya Ajabu Na Hii Ni
Kujulisha Kwamba Mungu
Alituumba Tena Kwa Namna Ya
Ajabu.
Pia Wengine Huita Kufikia
Mshindo, Wengine Huita Coming
N.K
Pia Wapo Ambao Kwa Tendo
Moja La Ndoa Huweza Kufika
Kileleni Zaidi Ya Mara Moja.
Je Mwanaume Na Mwanamke
Wote Hufika Kileleni Sawa?
Kwa Wanaume Kufika Kileleni Ni
Suala Ambalo Ni Automatic, Halina
Mjadala, Kitu Cha Msingi Kwake Ni
Kujitahidi Asifike Mapema Kileleni
Ili Amfikishe Mke Wake Pale
Anatakiwa Kufikishwa, Kwani
Mara Nyingi Mwanaume Akifika
Kileleni Hupoteza Uwezo Wa
Kuendelea Na Tendo.
Katika Nchi Zilizoendelea Kama
USA Na Canada Utafiti Mwingi
Unaonesha Kwamba
Asilimia 15 % Ya Wanawake
Hufika Kileleni Mara Zote.
Asilimia 48 % Ya Wanawake Mara
Nyingi Hufika Kileleni.
Asilimia 19 % Ya Wanawake Ni
Kawaida Kufika Kileleni Lakini Si
Mara Nyingi
Asilimia 11 % Ya Wanawake Ni
Nadra Sana Kufika Kileleni Na
Asilimia 7% Ya Wanawake
Hawajawahi Kufika Kileleni Na
Hawajui Ni Kitu Gani.
Hapa Ni Wanawake Kutoka Nchi
Zilizoendelea Ambako Elimu
Kuhusu Mapenzi Ni Kubwa Sana.
Je, Kwetu Nchi Zilizogoma
Kuendelea Hali Itakuwaje?
Ukizingatia Wanaume Wengi
Bado Hawajajua Nini Wanawake
Wanahitaji Ili Kufikishwa Kileleni?
Pia Kuna Baadhi Ya Wanawake
Ambao Hata Wasipofika Kileleni
Hawana Shida Wanaridhika Tu
Bora Maisha Yanaenda.
Nini Kitu Muhimu Kuhsu
Mwanamke Kufika Kileleni?
Wanawake Wanaweza Kuendelea
Kupata Utamu Hata Baada Ya
Kufika Kileleni Hivyo Ni Jukumu
La Mwanaume Kuhakikisha
Anabaki Ndani Ya Uke Hadi
Anahitimisha Tendo Zima
(Conclusion) Angalau Kwa Dakika
10 Au 15 Ndo Ukimbie Kuoga Au
Kupiga Usingizi Siyo Kumwacha
Kiumbe Wa Watu Kwenye Mataa
Akuugulia Kwsa Kumuondolea
Utamu Na Raha.
Tendo La Ndoa Huwa Ni La
Kuridhisha Sana Hasa Pale Mume
Anapomfahamu Vizuri
Mwanamke Na Kile Anahitaji Kwa
Kumfanyia Utundu Wote Wa
Kuchokonoa Sehemu Zote
Ambazo Zinaweza Kumhakikishia
Kwamba Atafika Kileleni.
Lakini Pia Mwanamke Anasehemu
Kubwa Sana Ya Yeye
Kujihakikishia Anafika Kileleni Si
Mwanaume Tu Ni Suala La Wote.
Je Maadui Wakubwa Wa
Mwanamke Kufika Kileleni Ni
Nini?
Kukeketwa (Female Genital
Mutilation).
Kukeketwa Ni Kitendo Cha Kukata
Sehemu Ya Uke Hasa Kisimi Kwa
Wanawake.
Katika Afrika Kuna Nchi 28
Ambazo Hufanya Hicho Kitendo
Cha Kikatili, Na Pia Nchi Kama
Yemen Na Indonesia Bado
Wanafanya.
Ingawa Wanawake
Waliokeketwa Huweza Kurudia
Hali Ya Kuweza Kufika Kileleni,
Walio Wengi Huathiriwa Sana Na
Hiki Kitendo Na Kuwasababishia
Kushindwa Kufika Kieleleni.
Dini, Jadi Na Utamaduni:
Kuna Baadhi Ya Mitazamo Na
Malezi Ya Dini, Jadi Au Tamaduni
Huwapa Wanawake Mtazamo
Mbaya, Finyu Na Usio Na Maana
Kuhusiana Na Tendo La Ndoa.
Katika Dini, Jadi, Na Tamaduni
Nyingi Ukiacha Jando Na Unyago,
Elimu Ya Mwanamke Kuhusu
Mwili Na Uzazi Havifundishwa
Wala Kutamkwa Matokeo Yake
Wanawake Wengi Hawaijui Miili
Yao, Kiasi Ambacho Unakuta
Kijana Wa Kiume Anamuoa Binti
Hajui Chochote Kuhusu Mwili Wa
Huyo Mwanamke Na Mwanamke
Mwenyewe Hajui Chochote
Kuhusu Mwili Wake Mwenyewe,
Akiguswa Chuchu Anakataa
Kwani Ni Kwa Ajili Ya Mtoto, Hapo
Utategemea Afikishwa Kileleni
Kweli?
Kisaikolojia.
Hili Huchangia Kwa Asilimia 95
Kwa Matatizo Yote
Yanayosababisha Mwanamke
Asifike Kileleni.
Adui Mkubwa Anayetisha Sana
Wa Mwanamke Kutofika Kileleni
Ni Akili (Mind.)
Hofu Labda Ya Kuachwa,
Mashaka, Kutojiamini, Kukasirika,
Donge Moyoni, Kisirani Au
Mahusiano Kutokuwa Mazuri
Huweza Kusababisha Mwanamke
Kutofika Kileleni.
Kushindwa Ku- Concentrate
Kwenye Tendo Lenyewe Na
Kupata Hisia Halisi (Sensations).
Kuwa Na Mawazo Ya Kitu Kingine
Wakati Wa Tendo La Ndoa
Mawazo Hasi (Negative) Kuhusu
Tendo La Ndoa, Pia Kuwa
Mchomvu.
Kibailojia
Kama Vile Kuwa Na Mfumo Ovyo
Wa Mzunguko Wa Damu Kwenye
Maeneo Ya Viungo Vya Uzazi Pia
Huchangia.
Anaweza Kuwa Na Uvimbe Au
Kisukari Pia Huchangia.
Pia Hitilafu Za Viungo Baada Ya
Kufanyiwa Upasuaji Hasa Sehemu
Ya Uke.
Umri (Menopause)
Kuna Wakati Mwanamke Kuanzia
Miaka 48 – 52 Hupata Mabadiliko
Ya Upungufu Wa Homoni Na Huo
Upungufu Husababisha Sehemu
Ya Uke Kuwa Kavu Wakati Wa
Tendo La Ndoa.
Kuwa Na Uke Mkavu Huchangia
Katika Ufanisi Wa Tendo La Ndoa
Kuwa Mdogo Na Hatimaye
Kushiondwa Kufika Kileleni
Si Kweli Kwamba Mwanamke
Akizeeka Uwezo Wa Tendo La
Ndoa Unakuwa Mdogo, Muhimu
Ni Kutumia Vilainisho Kama Gel
Au KY Jelly Na Libeneke
Linaendelea Kama Kawaida.
Kutumia Madawa (Medicaments).
Kama Unatumia Dawa Za Kuzuia
Msongo Wa Mawazo Pia
Huchangia Ile Hamu Ya Tendo La
Ndoa (Libido) Na Matokeo Yake
Kukosa Kufika Kileleni.
Pia Kuna Dawa Za Uzazi Wa
Mpango Hupunguza Hamu Ya
Tendo La Ndoa Hasa Zile Ambazo
Huingizwa Mwilini (Sindano)
Pia Dawa Za Kupunguza Pressure
Hupunguza Uwezekano Wa
Kufika Kileleni.
Pombe, Madawa Ya Kulevya Na
Sigara
Alkoholi Na Madawa Ya Kulevya
Hupunguza Sana Hamu Ya Tendo
La Ndoa.
Huathiri Mfumo Wa Fahamu
Unaohusika Na Mzunguko Wa
Hisia Za Mapenzi Kati Ya Ubongo
Na Uke.
Kama Inavyoathiri (Alkoholi)
Mwanaume Kudindisha Vilevile
Huathiri Mwanamke Kufika
Kileleni.
Mwonekano, Urembo Na
Umaridadi:
Kwa Mwanamke Jinsi
Anavyoonekana Na Jinsi
Mwanaume Anavyoonekana
Kuna Sehemu Katika Hisia Za
Mapenzi (Emotions Na Feelings).
Kama Yeye Mwenyewe Anajijua
Kwamba Hayupo Vizuri
Kimwonekano (Urembo, Usafi,
Harufu) Na Pia Kama Mwanaume
Hayupo Sawasawa Basi Anakuwa
Ameathirika Sana Kiasi Ambacho
Hawezi Kufika Kileleni.
Pia Wanawake Wana Uwezo
Mkubwa Kunusa Harufu Kuliko
Mwanaume Hivyo Harufu Yoyote
Mbaya Kwake Huwezi Kumpeleka
Nje Kabisa Ya Njia Ya Kwenda
Kileleni.
Mazingira
Kama Eneo Au Chumba Mlichopo
Hakina Usalama Kama Vile Anahisi
Mtu Anachungulia Au Anaweza
Kuingia, Kwa Mwanamke Hiyo Ni
Issue Kwani Hawezi Kufika
Kileleni Kwa Sababu Ya Usalama
Wake.
Je Kuna Jinsi Ya Kuondoa Tatizo
La Kutofika Kileleni?
Kujiruhusu Mwenyewe Kupenda
Tendo La Ndoa Na Zaidi Kupenda
Kufika Kileleni Kwa Hamu Kubwa.
Kuwa Responsible Kwa Mambo
Yote Yanayohusu Ufanisi Wa
Tendo La Ndoa.
Kujipa Elimu Na Maarifa Kuhusu
Elimu Ya Mapenzi Kwa
Mwanaume Na Mwanamke,
Viungo Vinavyohusika Na Kila
Kitu Kinachiweza Kukupa Tofauti
Katika Ufanisi Uimarishaji Wa
Tendo La Ndoa Kama
Unavyosoma Hapa Sasa Hivi.
Kuwa Na Mawasiliano Wakati Wa
Tendo La Ndoa Hasa Kuhusiana
Na Maeneo Yote Ambayo
Unasisimka Pale Ukiguswa Au
Kuchezewa.
Kufanyia Kazi Kila Tatizo Lolote La
Kisaikolojia Na Kupata Solution
Kabla Ya Tendo La Ndoatrike>
Comments
Post a Comment