JE,UNAJUA SIKUKUU YA KRISMASI?

KRISMASI HAIKUSHEREHEKEWA NA WAKRISTO WA ZAMANI Ibada ya mtu inaweza kuchafuliwa na dini za uwongo kupitia sherehe zinazopendwa.Kwa mfano,fikiria krismasi.Inasemekana kwamba krismasi ni ukumbusho wa kuzaliwa kwa yesu kristo ,na karibu dini zote zinazodai kuwa za kikristo husherehekea krismasi.Hata hivyo hakuna lolote linalothibitisha kwamba wanafunzi wa yesu walisherehekea sikukuu hiyo!!!!!kupitia kitabu cha "SACRED ORIGINS OF profound things"kinasema "kwa miaka 200 tangu kristo alipozaliwa, hakuna mtu aliye jua siku hususa ambayo alizaliwa, na ni watu wachache tu waliotaka kujua" swali je? UNAWEZA KUFANYA NINI IKIWA ZAMANI ULIKUWA UKITUMIA SANAMU AU KUABUDU MABABU?

Comments

Popular Posts