December 29, 2013 Umoja wa Mataifa unasema mashirika ya misaada yanahitaji dola milioni 166 kuwasaidia raia nchini Sudan ya Kusini huku taifa hilo jipya barani Afrika likihofiwa kuingia kwenye vita vya kikabila.
Comments
Post a Comment